Kisentani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisentani ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasentani. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kisentani imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisentani iko katika kundi lake lenyewe la Kisentani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisentani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.