Kisenoufo-Supyire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisenoufo-Supyire ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wasenoufo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisupyire imehesabiwa kuwa watu 350,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisupyire iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisenoufo-Supyire kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.