Kisemimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisemimi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasemimi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kisemimi imehesabiwa kuwa watu 1000, lakini wengi wameanza kuacha lugha yao, yaani Kisemimi iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisemimi iko katika kundi la Kimairasi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisemimi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.