Nenda kwa yaliyomo

Kiselungai-Murut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiselungai-Murut (pia Kimurut) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wamurut kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiselungai-Murut imehesabiwa kuwa watu 640 nchini Indonesia na watu 600 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiselungai-Murut iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiselungai-Murut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.