Kiseki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiseki ni lugha ya Kibantu nchini Guinea ya Ikweta na Gabon inayozungumzwa na Waseki. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiseki nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 11,000. Pia kuna wasemaji 3690 nchini Gabon. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiseki iko katika kundi la B20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.