Kisaponi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisaponi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasaponi. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kisaponi tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisaponi iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaponi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.