Kisanthali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisanthali ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi, Bangladesh na Nepal inayozungumzwa na Wasanthali. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisanthali nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 5,940,000. Pia kuna wasemaji 225,000 nchini Bangladesh (2011) na wasemaji 49,900 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisanthali iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisanthali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.