Kisanga (Kongo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisanga ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasanga. Isichanganywe na lugha ya Kisanga inayozungumzwa nchini Nigeria. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kisanga imehesabiwa kuwa watu 431,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisanga iko katika kundi la L30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisanga (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.