Kisambe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisambe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasambe. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisambe imehesabiwa kuwa watu sita tu, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa. Wasambe wengi wamekuwa hubadilisha lugha na kuongea Kininzo badala ya Kisambe. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisambe iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisambe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.