Kisaafi-Saafi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisaafi-Saafi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Waserer. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisaafi-Saafi imehesabiwa kuwa watu 114,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaafi-Saafi iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaafi-Saafi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.