Kirathawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirathawi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Warathawi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kirathawi imehesabiwa kuwa watu 451,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirathawi iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kibhilali.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirathawi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.