Nenda kwa yaliyomo

Kipinjarup

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipinjarup kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapinjarup katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipinjarup ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipinjarup kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kinoongar.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipinjarup kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.