Kipimo data (utarakilishi)
Jump to navigation
Jump to search
Katika utarakilishi, kipimo data (kwa Kiingereza: Bandwidth au network bandwidth) ni idadi ya kiwango cha juu ya uhamishaji data katika njia fulani.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).