Kiphuie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiphuie (au Kipuguli) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Waphuo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiphuie imehesabiwa kuwa watu 14,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiphuie iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiphuie kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.