Kiphangduwali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiphangduwali ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Waphangduwali. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiphangduwali imehesabiwa kuwa watu 290 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphangduwali iko katika kundi la Kihimalaya. Wataalamu wengine huiangala kama lahaja ya Kiyakkha, pamoja na Kimugali.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiphangduwali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.