Kimugali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimugali ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wamugali. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimugali imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimugali iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimugali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.