Kipatani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipatani ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapatani kwenye kisiwa cha Halmahera. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipatani imehesabiwa kuwa watu 10,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipatani iko katika kundi la Kihalmahera-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipatani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.