Kipare (Papua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipare ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapare. Isichanganywe na lugha ya Kipare izungumzwayo nchini Tanzania. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kipare imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipare iko katika kundi la Kiawin-Pare.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipare (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.