Kipare (Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipare (pia huitwa Chasu) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapare. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipare imehesabiwa kuwa watu 500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipare iko katika kundi la G20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Hohenberger, Johannes. 1929/30. Zur Lautlehre und Grammatik des Asu. Zeitschrift für Eingeborenen-Sprachen, 20, uk. 175-208.
  • Kotz, Ernst. 1909. Grammatik des Chasu in Deutsch Ost-Afrika (Pare-Gebirge). (Archiv für das Studium der deutschen Kolonialsprachen, Bd 10.) Berlin: Dietrich Reimer. Kurasa 79.
  • Mreta, Abel Y. 1998. An analysis of tense and aspect in Chasu: their form and meaning in the affirmative constructions. (Beiträge zur Afrikanistik, Bd 10.) Hamburg: Lit Verlag.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipare (Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.