Kiparachi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiparachi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan inayozungumzwa na Waparachi. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiparachi imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiparachi iko katika kundi la Kiajemi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiparachi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.