Nenda kwa yaliyomo

Kipapasena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipapasena ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapapasena. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kipapasena imehesabiwa kuwa watu 400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipapasena iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipapasena kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.