Kipam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wapam. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipam imehesabiwa kuwa watu 30 tu. Kwa hiyo lugha inakaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipam iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.