Kipalor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipalor ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wapalor. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipalor imehesabiwa kuwa watu 10,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipalor iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalor kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.