Kipagu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipagu ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapagu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipagu imehesabiwa kuwa watu 3310, lakini wengi wameanza kuacha lugha yao, yaani iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipagu iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipagu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.