Kipaakantyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kipaakantyi (kijani)

Kipaakantyi (au Kibaagandji; pia Kidarling) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wapaakantyi katika jimbo la New South Wales. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kipaakantyi ilihesabiwa kuwa watu 24 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaakantyi kiko katika kundi la Kibaagandji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipaakantyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.