Kiotoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiotoro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Waotoro. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiotoro imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiotoro iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiotoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.