Kiotank

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiotank ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waotank. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiotank imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiotank iko katika kundi la Kitivoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiotank kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.