Kiosatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiosatu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waosatu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiosatu imehesabiwa kuwa watu 400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiosatu iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiosatu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.