Kioruma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kioruma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waoruma. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kioruma imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioruma iko katika kundi la Kiijoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioruma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.