Kiolezo
Jump to navigation
Jump to search
Katika utarakilishi, kiolezo (kwa Kiingereza: template) ni sehemu ya programu inayotumika ili kuaini jalada lisiloweza kutekelezwa linalotumika kihususa kwa programu hii.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).