Kiokodia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiokodia (pia Kiakita) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waokodia. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kiokodia imehesabiwa kuwa watu 3600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiokodia iko katika kundi la Kiijoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiokodia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.