Kiod
Mandhari
Kiod ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Waod. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiod imehesabiwa kuwa watu 58,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiod kiko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiod kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiod
- lugha ya Kiod katika Glottolog
- lugha ya Kiod kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiod kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |