Kiobulom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiobulom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waobulom. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiobulom imehesabiwa kuwa watu 3420. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiobulom iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiobulom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.