Nenda kwa yaliyomo

Kiobanliku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiobanliku ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabanliku. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiobanliku imehesabiwa kuwa watu 65,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiobanliku iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiobanliku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.