Kinyong
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kinyong (lugha))
Kinyong ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanyong. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kinyong nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 30,000. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyong iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinyong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyong
- lugha ya Kinyong katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/muo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |