Kinyemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyemba ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wanyemba. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinyemba nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 222,000. Pia kuna wasemaji wa Kinyemba nchi za Namibia na Zambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyemba iko katika kundi la K20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.