Kinyaw

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyaw ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uthai inayozungumzwa na Wanyaw. Mwaka wa 1990 idadi ya wazungumzaji wa Kinyaw imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinyaw iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyaw kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.