Kinuosu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinuosu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinuosu nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni mbili. Pia kuna wasemaji nchini Vietnam, Laos na Uthai. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinuosu iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinuosu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.