Kinung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinung ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Wanung. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinung imehesabiwa kuwa watu 969,000 nchini Vietnam. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uchina na Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinung iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.