Kinnam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinnam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wannam. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinnam imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinnam iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinnam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.