Kinjyem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinjyem ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanjyem. Idadi ya wasemaji wa Kinjyem nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 3500. Pia kuna wasemaji 3500 tena nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinjyem iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinjyem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.