Kiningye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiningye ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waningye. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiningye imehesabiwa kuwa watu 3990. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiningye iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiningye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.