Kingwo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kingwo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangwo. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kingwo imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingwo iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingwo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.