Kingomba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingomba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangomba. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kingomba imehesabiwa kuwa watu 63,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingomba iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingomba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.