Kingile
Mandhari
Kingile ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Wamesakin. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kingile imehesabiwa kuwa watu 38,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingile iko katika kundi la Kikordofani.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingile kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingile Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingile katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/jle
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingile kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |