Kingie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kingie ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangie. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kingie imehesabiwa kuwa watu 37,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingie iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingie kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.