Kingemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingemba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangemba. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kingemba imehesabiwa kuwa watu 18,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingemba iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.