Kingando (Afrika ya Kati)
Mandhari
Kingando ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wangando. Isichanganywe na Kingando nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kingando imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingando iko katika kundi la C10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingando kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingando Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingando katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ngd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingando (Afrika ya Kati) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |