Kingan'gityemerri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingan'gityemerri ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wangan'gityemerri katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kingan'gityemerri 180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingan'gityemerri kiko katika kundi la Kimurrinhpatta.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingan'gityemerri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.