King Sunny Adé
Jump to navigation
Jump to search
King Sunny Adé (amezaliwa 22 Septemba 1946) ni mwanamuziki wa Nigeria. Jina lake la kuzaliwa ni Sunday Adeniyi. Alizaliwa huko Ondo. Alikuwa anapiga muziki wa Juju.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu King Sunny Adé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |